Mwanafunzi Miaka 13 Msingi Abebeshwa Mimba, Afaulu Sekondari…!

Na Joachim Mushi, Newala MIMBA za umri mdogo ambazo zimekuwa zikiwakatisha wanafunzi masomo Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara bado ni tatizo. Matukio ya mimba hizi kwa wanafunzi mbali ya kuwakatisha masomo yao zimekuwa zikitishia afya zao pia. Fatuma Rashid, 14(si jina lake halisi) ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kipimi, Kata ya Makote Wilayani Newala ambaye alimaliza elimu ya darasa la …

Mfumuko wa Bei Julai Wapanda hadi Asilimia 6.5

Na Aron Msigwa – MAELEZO OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa ongezeko dogo la mfumuko wa bei nchini kutoka asilimia 6.4 za mwezi June hadi asilimia 6.5 za mwezi Julai 2014 linatokana na kupanda kwa bei za baadhi ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali.  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii …

Matukio Kongamano la Wazi Kujadili Mchakato wa Katiba Mpya

Mambo muhimu yaliojadiliwa katika kongamano hilo ni pamoja na ilani ya wanawake katika katiba mpya kuangalia suala la usawa wa kijinsia, wanawake wanapataje haki zao za msingi hasa katika suala la matibabu, uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa kutosha katika nafasi za ajira ngazi zote. Mengine ni pamoja na ushiriki sawa katika nafasi za maamuzi na ulinzi wa kutosha …