MAMBO yamebadilika. Ukimya ulitawala jana katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, baada ya wabunge zaidi ya 200 ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kususia vikao vya Bunge hilo. Ilikuwa ni saa 10:31 jioni baada ya Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alipohitimisha uchangiaji wake akisema: “Ukawa hatuwezi kuendelea kushiriki …
Flooding causes severe damage, claims 15 lives in Tanzania
The heavy rainfall that pounded Tanzania’s Coast, Morogoro and Dar es Salaam regions for three consecutive days left at least 15 people dead and caused devastating damage to private property and public infrastructure, leaving thousands stranded and without shelter. “Bridges have been washed away or developed cracks because of heavy rainfall that started on Friday,” Dar es Salaam Special Zone …
Kivulini Yaanza Vikao vya Tathmini kwa Wasaidizi Sheria Wilaya za Mkoa wa Mwanza
TAASISI isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na kutetea haki za Wanawake, KIVULINI, yenye makao makuu jijini Mwanza imeanza kufanya vikao vya tathmini ya utendeji kazi wa wasaidizi wa kisheria kwa robo mwaka wa pili katika ngazi za wilaya chini ya mradi wa msaada wa kisheria na haki za binaadamu. Vikao hivyo vilivyoanza leo katika wilaya ya Sengerema kwa kukutana na wasaidizi …
Uzinduzi wa Uchunguzi wa Saratani ya Shingo ya Kizazi
Picha na John Lukuwi