Jabiri Makame Awataka Vijana Kutumia Fursa Zilizowazunguka

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi VIJANA mkoani Lindi wametakiwa kuacha tabia ya kuilalamika Serikali kuwa maisha ni magumu bali watumie fursa zilizopo katika maeneo yao kwa kujiunga katika vikundi vya ujasiriamali ili waweze kujiajiri na hivyo kujikwamua na hali ngumu ya maisha. Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Baraza kuu na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCC) …

Sitta Amwita Bungeni Lukuvi, Aeleze Alichokisema Kuwaudhi UKAWA

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amemwita katika bunge hilo Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi aje kueleza alichokisema katika kanisa moja juzi, kauli ambayo inadaiwa kuwaudhi wabunge toka Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao ni wajumbe wa Bunge la Katiba waliogoma kuhudhuria vikao vya bunge hilo tangu jana. …

You think English is easy?

1) The bandage was wound around the wound. 2) The farm was used to produce produce. 3) The dump was so full that it had to refuse more refuse. 4) We must polish the Polish furniture.. 5) He could lead if he would get the lead out. 6) The soldier decided to desert his dessert in the desert.. 7) Since …

Ni Ukosefu wa Adabu Kuwatukana Waasisi wa Tanzania – Rais Kikwete

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kwa baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli Waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amaan Karume. Aidha, Rais Kikwete alisema kuwa viongozi hao wawili wameifanyia Tanzania mambo mengi, mambo makubwa na mambo …

Kutumia Umeme Si Utajiri – Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda- Maelezo, Lindi WAKAZI wa Kata ya Msinjahili wilayani Lindi wametakiwa kutoogopa kuvuta umeme majumbani mwao kwa hofu kuwa wakifanya hivyo wataonekana ni matajiri kwani matumizi ya umeme ni ya gharama nafuu ukilinganisha na mafuta ya taa. Mwito huo umetolea jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini, Mama …

Mvua Kubwa Kunyesha Tena Aprili 17-18

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinatarajia kunyesha tena Aprili 17 na 18 katika Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na mikoa ya Tanga, Pwani na Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, mvua hizo zinatarajiwa kunyesha katika kipimo kinachozidi milimita 50 ndani ya saa 24, katika Ukanda wa Pwani. TMA …