Na Mwandishi Maalumu, Karatu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya Wilaya ya Karatu katika Mkoa wa Arusha. Aidha, chama hicho kimempongeza Rais Kikwete kwa kusambaza maendeleo kwa Watanzania bila kujali msimamo wao wa kisiasa na hata katika maeneo yanayounga mkono upinzani. Shukurani na …
Rais Kikwete Atoa Rambirambi Vifo vya Wananchi na DC Kalambo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Paschal Mabiti, kuomboleza vifo vya watu 11 ambao wamepoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea mkoani humo, Aprili 21, 2014. Katika salamu hizo, Rais Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuwa ajali zabarabarani zinaendelea kuchukua maisha ya watu wasiokuwa na …
Basi Lagonga Nyumba Lapinduka, 11 Wafariki Dunia, 44 Wajeruhiwa
WATU 10 wamekufa papo hapo na mwingine kupoteza maisha alipokuwa akipelekwa hospitali baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupata ajali mkoani Simiyu. Ajali hiyo ilitokea eneo la Itwilima A, Kata ya Kilorei, Wilaya ya Busega baada ya basi hilo la Luheye lifanyalo safari zake kati ya Bunda na Mwanza kupata hitilafu na kugonga mti na baadaye nyumba. Akizungumza katika Hospitali ya …
British couple to sue Tanzania over farm deal that ‘ended in death threats’
Fight at the international arbitration court comes as UK promotes private investment in east African country A British couple aim to take Tanzania to an international arbitration court after they were forced to flee following what they say was a campaign of harassment and intimidation, including death threats. If it goes to court, the case could prove embarrassing for the …
Mama Kikwete Ahimiza Ulaji wa Dona kwa Wakazi Lindi
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WAZAZI na walezi wameshauriwa kuwapa watoto uji na ugali wa unga wa dona na siyo sembe kwakuwa unga wa dona una kiini cha mahindi ambacho kinakirutubisho kinachosaidia ukuaji na uwezo wa akili ya binadamu. Ushauri huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama …