BUNGE Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba. Badala yake Bunge hilo likiongozwa na Samuel Sitta “Mzee wa Kasi na Viwango” linaahirishwa hadi Agosti, mwaka huu likiendelea kujadili Sura ya Kwanza na ya Sita zenye jumla ya Ibara 19, zinazohusu masuala yanayojenga msingi …
JK Akomalia Madawa ya Kulevya Viwanja vya Ndege
Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameiamuru Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake kuchukua hatua za mara moja kukomesha aibu ya viwanja vya ndege vya Tanzania kutumika katika uchochoro wa kupitisha na kusafirisha madawa ya kulevya. Aidha, Rais Kikwete alisema ukweli kuwa madawa ya kulevya yanazidi kupita katika viwanja vya ndege za Julius Nyerere …
Haya Ndio Maswali Saba ya Jaji Warioba kwa Wajumbe Bunge la Katiba
ALIYAKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ameuliza maswali saba ya msingi kwa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaopinga Rasimu ya Katiba iliyotolewa na Tume yake akitaka wawajibu wananchi ili kutuliza kiu yao. Jaji Warioba ambaye tangu awasilishe Rasimu ya Katiba Desemba 30, mwaka jana amegeuka kuwa adui kwa watu wanaotaka muundo wa serikali mbili, aliuliza …
Waziri Hawa Ghasia Aongoza Mazishi ya DC Chang’a Mkoani Iringa
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia leo amemwakilisha Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda katika mazishi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Marehemu Moshi Chang’a. Katika mazishi hayo wamehudhuriwa mamia ya wakazi wa Manispaa ya Iringa na viongozi wa serikali kutoka mikoa mikoa mbali mbali nchini pia spika wa bunge Anne Makinda alitumia nafasi hiyo kuueleza umma siri nzito …
Rose Muhando Is in Hiding for Her Life
Tanzanian gospel singer Rose Muhando has gone into hiding to stay away from “people who threatened her life”. According to Tanzanian media, Muhando moved from her home town Dodoma and now is hiding in Dar es Salaam. Alex Msama one of her handlers said, “Those people are not good. For a while now, they have been planing to harm Rose. …
Kikwete Afunga Mjadala Matumizi ya EFD’s Mashine, Atoa Msimamo wa Serikali
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa Mashine za Electroniki za Ukusanyaji Kodi –EFD ni lazima ziendelee kutumika nchini na ameagiza viongozi wa Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA) kukaa chini na wadau na watumiaji wa mashine hizo kuzungumza na kutafuta majawabu yanayolalamikiwa na wadau. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa anajua kuwa yapo maneno mengi kuhusiana na …