Rais Kikwete Ataka Sekta Binafsi Kujihusisha na Mapambano ya Ukimwi

RAIS atoa changamoto sekta binafsi kujihusisha zaidi na mapambano dhidi ya Ukimwi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi na biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji wa makampuni hayo. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa pamoja na kwamba …

Diamond Afanya Kufuru Tuzo za Kilimanjaro Muziki

Na Mwandishi Wetu, Dar MSANII wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum usiku huu jijini Dar es Salaam amefanya kufuru baada ya kunyakua tuzo zote za vipengele tofauti alivyoshindanishwa kwenye Shindano la Tuzo za Muziki, maarufu kama ‘Kilimanjaro Tanzania Music Award’ (KTMA). Diamond alitwaa tuzo zote saba alizoshiriki kushindanishwa na kuweka historia katika mashindano hayo. Katika shindano …

Viatu Virefu Vyamuumbua Msanii Vanesa Mdee Jukwaani…!

Na Mwandishi Wetu, Dar UVAAJI wa viatu virefu bila kuwa na uzoefu navyo au kufanya mazoezi namna ya kuvitembelea usiku huu vilimuumbua msanii maarufu wa bongo fleva, Vanesa Mdee katika Ukumbi wa Mlimani City. Tukio hilo lilimkumba msanii Mdee akiwa katika jukwaa la Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA) alipopanda kuchukua tuzo yake ya Mwanamuziki Bora wa R&B 2014. Msanii huyo …

Abiria Kwenye Daladala Wanusurika Kifo Tabata, Dar

Na dev.kisakuzi.com, Dar ABIRIA wa daladala aina ya Tata linalofanya safari zake kati ya Tabata Segerea na Kivukoni jijini Dar es Salaam jana walinusurika kifo baada ya gari hilo kushindwa kupandisha muinuko na kuanza kurudi nyuma ghafla. Tukio hilo lilitokea eneo la Tabata Dampo, ambapo daladala hilo lililokuwa limekodishwa na abiria likitokea Tabata Segerea kushindwa kupanda muinuko wa Dampo kuelekea …

Rais aunda Tume kuchunguza mwenendo wa Operesheni Tokomeza

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi (Commission Inquiry) Kuhusu Vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jioni ya Ijumaa, Mei 2, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Rais ameunda Tume hiyo kwa mujibu wa kifungu cha tatu cha Sheria ya Uchunguzi Sura …