Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Wazidi Kuongezeka

Na Aron Msigwa – MAELEZO   OFISI ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Aprili umeongezeka ikilinganishwa na mwezi uliopita kutokana na kupanda kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa …

Wanaharakati Wamtaka Rais Kikwete Kuvunja Bunge la Katiba

Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI  kutoka sehemu mbalimbali wametoa rai kwa Rais Jakaya Kikwete kulivunja Bunge maalum la Katiba  ili kuunda Bunge huru litakalokuwa na wawakilishi wasio wabunge wa Bunge la kawaida. Wanaharakati hao kutoka vikundi mbalimbali vya kijamii na asasi za kiraia  wamefikia uamuzi huo leo jioni katika kusanyiko lao la kila Jumatano la Semina za Maendeleo na Jinsia (GDSS) …

Kiongozi UNDP, Helen Clark Kufanya Ziara Tanzania Mei, 2014

MKUU wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, atafanya ziara nchini Tanzania kuanzia Mei 10 hadi 13, 2014. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa UNIC Tanzania, Stella Vuzo kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, katika ziara ya Helen Clark anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika chakula cha jioni cha kufunga mkutano kuhusu …

TRA Yapata Kamishna Mkuu Mpya, Ni Rished Bade

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, uteulzi huu umaanza tarehe 06 Mei, 2014. Bade anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Harry Kitilya ambaye alistaafu tarehe 14 Desemba, 2013. Kabla ya uteuzi huo, Bade alikuwa Naibu Kamishna wa …

Upinzani Watoa Masharti Magumu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

SERIKALI imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila kupatikana kwa Katiba Mpya la sivyo Kambi Rasmi ya haitashiriki. Hayo yalielezwa jana na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe alipokuwa akitoa hotuba ya kambi hiyo bungeni kuhusu Makadirio ya …

Mvua ya Samaki Yanyesha Kijijini

WAKAZI wa kijiji kimoja Magharibi mwa Sri Lanka wameshangazwa na pia kwa namna nyingine kufurahishwa na tukio la ‘kunyesha’ kwa mvua ya Samaki wadogo kijijini kwao. Samaki hao ambao walikuwa katika hali nzuri ya kuweza kulika wanaaminika kuwa walibebwa kutoka kwenye mto mmoja kwa upepo mkali na kuangukia kijijini hapo. Wanakijiji hao wa Wilaya ya Chilaw walisema walisikia kitu kizito …