Hospitali za Serikali Dar Zatibu Bure Homa ya Dengue

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanampeleka hospitali za Serikali mtu yeyote anayehisiwa kuwa na dalili za ugonjwa hatari wa homa ya dengue kwani wagonjwa hao hutibiwa bure katika hospitali za Serikali. Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu huyo wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa …

Wanaharakati Waijia Juu Serikali Kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao wameitaka Serikali kuhakikisha mchakato wa maridhiano kati ya wabunge wa kundi la UKAWA na Tanzania Kwanza unafanyika ili kunusuru mchakato na bunge la katiba. Wanaharakati wa GDSS wametoa kauli hiyo leo walipokuwa wakizungumza na vyombo …

Mwenyekiti wa CCM Alivyoliwa na Mamba…!

MVUA inaweza kuwa neema pale inaponyesha kwa wastani, lakini ikawa karaha pale inapokuwa kubwa, hasa kwa watu wanaoishi mabondeni au kandokando ya mito. Mikoa mingi nchini imepata adha ya mafuriko kutokana na mvua zilizoanza kunyesha mwezi uliopita. Lakini kwa wakazi wa vijiji vilivyopo kandokando ya Mto Rufiji, mvua zimewaletea wageni hatari katika maeneo yao. Wageni hawa ni viumbe hatari; ni …

Usiombee Kuugua Dengue, Kipimo ni Sh 50,000

WAKATI taharuki iliyosababishwa na mlipuko wa homa ya dengue ikiendelea kutikisa kila kona ya jiji, imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000, ikiwa ni tofauti kubwa na Sh1,000 kwa kipimo cha malaria. Ugonjwa huo unazidi kusambaa jijini Dar es salaam na baadhi ya mikoa, kiasi cha mamlaka kuagiza mabasi yote yaendayo mikoani yafanyiwe usafi wa kunyunyizia dawa …