People With Albinism: Pillay Urges More Protection After Barbaric Killing in Tanzania

UN High Commissioner for Human Rights Navi Pillay called Thursday for increased protection for people with albinism, after the barbaric murder of a 40-year-old woman with albinism in north-western Tanzania on 12 May. “This killing and the terrible circumstances surrounding it sadly demonstrate that the human rights situation of people with albinism in Tanzania and other countries, remains dire,” Pillay …

Mama Salma Kikwete Ataka Watoto Walemavu Wapendwe

Na Anna Nkinda – Maelezo WAZAZI wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza  na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao. Mwito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao …

Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii Waandamana Kuwapinga Boko Haram

MTANDAO wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs) nchini Tanzania pamoja na baadhi ya wanafunzi wa kike shule kadhaa za Sekondari jijini Dar es Salaam umefanya maandamano kupinga kitendo cha kikatili kilichofanywa na kikundi cha Boko Haram cha nchini Nigeri cha kuwateka wanafunzi wa kike na kuwashikilia. Maandamano hayo ya ndani yaliyoshirikisha wanaharakati mbalimbali yamefanyika ndani ya viwanja vya TGNP Mtandao …

Polisi Wambaini Aliyepora Fedha Barclays Dar, Watumia Picha Kumsaka

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa muhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi katika mabenki ambaye anajulikana kwa jina la RONALD S/O MOLLEL umri miaka 37, mfanyabishara na mkazi wa Kimara Bonyokwa Jijini Dar es salaam. Taarifa ya Kamanda, Suleiman Kova inabainisha.            Mtuhumiwa huyu amekimbilia mafichoni mara baada ya tukio la ujambazi …

Kamata Kamata Bodaboda na Bajaji Dar, Jiji Lageuza Biashara..!

ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri. Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na …