Dk Huvisa Aingia Bodi ya Chuo cha Mwalimu Nyerere, Dk Ole Medeye Apeta SADC PF

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Dk. Terezya Huvisa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Dk Huvisa ametwaa nafasi hiyo ya kuwawakilisha wabunge katika bodi hiyo baada ya kumshinda waliyekuwa wakigombea nafasi hiyo, Mussa Haji Kombo ambaye ni mbunge wa Chama cha Wananchi, …

Mjadala Washauri Kuundwa Sheria ya Kusimamia Utekelezaji Bajeti

Na Joachim Mushi BAADHI ya wanaharakati wamevitaka vyombo vinavyotunga sheria nchini kwa pamoja kwa kushirikiana na wanaharakati kuhakikisha wanashinikiza kutungwa kwa sheria itakayo simamia bajeti za kila mwaka na pale ambapo Serikali na idara fulani zinaonekana kukwamisha utekelezaji sheria ichukue mkondo wake. Kauli hiyo ilitolewa juzi jijini Dar es Salaam na baadhi ya wawakilishi kutoka asasi anuai za kiraia ambao …

Magari Yanayojiendesha Sasa Yaja

MAGARI yanayojiendesha bila ya dereva kushika usukani yataanza kusambazwa duniani kabla ya muda uliotarajiwa. Hiyo inatokana na makubaliano yaliyofikiwa na kuondolewa kwa kipengele cha sheria za usalama barabarani ambacho kilikuwa kinazuia gari kujiendesha bila ya kuongozwa na binadamu. Kipengele hicho katika makubaliano ya Umoja wa Mataifa, kilisababisha utafiti uliofanywa kwa muda mrefu wa kutengeneza magari ya aina hiyo kukwama, lakini …

Vijana Wengi Wajitokeza Kumzika Mzee Small Dar, Wabeba Jeneza Kumthamini..!

 Msafara wa magari na waendesha Bodaboda wakiwa katika barabara ya Segerea Kinyerezi wakati wakielekea Makaburi ya Segerea kwaajili ya Kumpumzisha Kwa Amani Mkongwe wa Sanaa ya Vichekesho Nchini Said Ngamba almaarufu Mzee Small  Gari lililobeba Mwili wa Marehemu Said Ngamba aka Mzee Small) likiwa limesimama kwa ajili ya vijana kuubeba Mwili wake hadi kwenye Makaburi ya Segerea.   Vijana wakiwa …

Tajiri Afanya Ukatili wa Kutisha kwa ‘House Girl’ Atumia Pasi ya Moto…!

*Adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu MFANYAKAZI wa ndani (house girl), Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam akiuguza majeraha yanayotokana na kuteswa na kufungiwa ndani kwa miaka mitatu. Binti huyo, …