ARVs Zapungua Nchini Watumiaji Matatani…!

MAISHA ya baadhi ya watu wanaotumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa wa Ukimwi (ARVs), yapo hatarini, baada ya kupungua kwa dawa hizo nchini na hivyo kufanya wagonjwa kutumia dawa tofauti na zile wanazotumia siku zote. Uchunguzi wa gazeti hili umegundua kuwa hali hiyo inatokana na urasimu wa baadhi ya taasisi za Serikali, ambazo zinachelewa kuagiza dawa za ARVs kwenye …

Bomu Laua Mmoja na Kujeruhi 7 Zanzibar

MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Sheikh Kassim Mafuta Kassim (38) mkazi wa Pongwe mkoani Tanga. Tukio hilo limejiri saa 2:30 usiku na bomu hilo lilirushwa kwa mkono na watu wasiojulikana wakati waumini wakiagana na mtoa mawaidha Sheikh …

Bajeti 2014/15 Maumivu kwa Walevi, Wafanyakazi Wapunguziwa Kodi

*Sigara, Juisi, Mvinyo Vyapanda Tena, Wastaafu wakumbukwa Na Joachim Mushi WAZIRI wa Fedha leo mjini Dodoma amesoma Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2014/15 ambapo bajeti hiyo ikiendelea kuwakamua watumiaji wa vileo (walevi), wapenda starehe pamoja na wavutaji wa sigara huku safari hii hauweni ikijitokeza kwa wafanyakazi baada ya kupunguza kodi za mishahara. Akisoma bajeti …

Majambazi Yateka Kituo cha Polisi, Yaua Askari na Kuiba Bunduki

HILI linawezekana kuwa ni tukio la kwanza na la aina yake. Majambazi wanaokisiwa kuwa sita, wakiwa na pikipiki tatu, juzi walivamia Kituo Kidogo cha Polisi Mkamba kilichopo Kimanzichana, Wilaya ya Mkuranga, Pwani na kuua askari mmoja na mgambo na kujeruhi mgambo mwingine na kisha kupora bunduki tano na risasi 60 usiku wa kuamkia juzi. Polisi aliyeuawa ni Konstebo Joseph Ngonyani …

Wananchi Waeleza Mafanikio ya Utafiti Raghbishi wa TGNP

WANAHARAKATI ngazi ya jamii kutoka mikoa ya Morogoro, Shinyanga, Mbeya, Mara na Jijini Dar es Salaam wamesema utafiti wa kiragibishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) katika maeneo yao unaleta mafanikio kwani changamoto zinazoibuliwa katika maeneo ya utafiti baadhi zimeaza kufanyiwa kazi. Kuanzia Machi 9 hadi 31, mwaka huu TGNP Mtandao iliendesha utafiti wa kiragibishi kwa kuishirikisha jamii katika …