Maambukizi ya Ukimwi Yapungua Jijini Dar es Salaam

  Na Aron Msigwa –MAELEZO JIJI la Dar es Salaam limefanikiwa kupunguza kiwango cha maambukizi ya VVU kutoka asilimia 9.8 za mwaka 2007/08 hadi kufikia asilimia 6.9 kutokana na jitihada zilizofanywa na serikali zikiwemo za uundaji wa kamati shirikishi za mkoa kudhibiti maambukizi hayo. Hayo yamebainishwa  katika taarifa ya hali ya maambukizi ya VVU na Ukimwi iliyotolewa na Katibu Tawala …

Japan Yachangia Bajeti ya Serikali, Yatoa Bilioni 24.1

WAKATI Wizara ya Fedha ikiendelea na majadiliano ya Bajeti ya Serikali mjini Dodoma, Serikali ya Japan imetoa shilingi bilioni 24.1 za Kitanzania kutoka Serikali ya Japani kwa ajili ya shughuli za maendeleo nchini. Akizungumza katika hafla hiyo ya kutiliana saini, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum aliishukuru Serikali ya Japan kwa kuwa na ushirikiano mzuri na Tanzania. “Mkopo huu utachangia …

Jubilee Insurance Yahamasisha Uchangiaji Damu

Jubilee Insurance Yahamasisha Uchangiaji Damu KILA mwaka tarehe 14 Juni ni siku ya kuchangia damu duniani, Jubilee Insurance chini ya idarayakeya utabibuikishirikiana na wizara yaafyaTanzania na ustawi wa jamii (National Blood Transfusion) ingependakuchukuafursahiikuwakaribishaWatanzaniawotekatika kuokoamaisha kwa kuchangia damu katika haflaitakayofanyika Mlimani City tarehe 14 Juni 2014 kuanziasaa 2 asubuhimpakasaa 8 mchana. Mbiu ya mwaka huu ni “Damu salama kwa ukombozi wa …

Al Shabaab Washambulia Kenya, Wauwa Raia 48 Lamu

WATU wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Kiislamu wameshambulia kituo cha polisi, hoteli na vijiji mjini Mpeketoni, pwani ya nchini ya Kenya. Makabiliano makali yameripotiwa kutokea sehemu kubwa ya Jumapili usiku huku wakazi wa maeneo hayo wakikimbilia maeneo ya msitu karibu na kisiwa cha Lamu. Shirika la msalaba mwekundu linasema mpaka sasa watu 48 wanahofiwa kuuawa katika shambulizi hilo lililotokea nyakati za …