Na Mwandishi Wetu MAADHIMISHO ya Ekaristi takatifu yaliyofanyika leo katika Kanisa Katoliki la Kristu Mfalme Parokia ya Tabata jijini Dar es Salaam yameibua mapepo toka kwa muumini mmoja na kuzua tafrani huku ibada ya ekaristi ikiendelea ndani ya kanisa hilo. Tukio hilo lilitokea leo majira ya alfajiri ambapo wakati misa ya maadhimisho ya ekaristi takatifu ikiendelea alisikika muumini mmoja akipiga …
Mjadala Bunge la Katiba Hauninyimi Usingizi – Rais Kikwete
RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali uliotawala Bunge Maalum la Katiba kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba Mpya ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania. Rais Kikwete alisema kuwa Katiba ya Tanzania haitapatikana kwa mikutano ya kisiasa nje ya Bunge Maalum la Katiba bali ndani ya Bunge …
Rais Kikwete Ataja Kazi za Kufanya Baada ya Uraisi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jakaya Kikwete amesema kuwa anakusudia kurejea darasani kushika tena chaki kwa kuwa mhadhiri kwenye Chuo cha Taifa cha Ulinzi – National Defence College (NDC) cha Dar es Salaam. Rais Kikwete amelieleza hilo, Juni 20, 2014, wakati alipotoa Mhadhara (Lecture) kuhusu Usalama wa Taifa …
Serikali Yamchunguza Aliyepewa Zawadi ya Mke Kijijini
TUME inayohusika na masuala ya usawa wa kijinsia nchini Afrika Kusini inafanya uchunguzi kuhusu madai kuwa Mkuu wa Shirika la Habari la SABC nchini humo alikabidhiwa msichana mwenye umri wa miaka 23 kama zawadi awe mkewe. Tume hiyo imesema kuwa imepokea malalamiko kwamba viongozi wa kitamaduni walimkabidhi Mkuu Shirika la Habari la Serikali SABC, Hlaudi Motsoeneng mke kama zawadi jambo …
Mfuko wa Janga la Moto Soko la Mchikichini Waanzishwa
Na Aron Msigwa – Maelezo, Dar es Salaam BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kuanzisha mfuko maaluum wa kuwasaidia wafanyabiashara wapatao 5700 wa soko la Mchikichini walioathiriwa na janga la moto lililotokea Juni 12, 2014 eneo la Karume, Dar es Salaam. Akaunti hiyo maalum inayojulikana kwa jina la Mkono wa Pole Chinga 2014 imefunguliwa katika Benki …
Samsung; Built For Africa
THE steady growth of the Tanzanian economy has seen an influx of foreign owned companies venturing into the country with the aim of unleashing their products or services to the Tanzanian masses. Success of these products and services depend on various factors, ranging from environment to perceived demand that stipulate just how relevant they are to the market. One firm …