TAMWA Kutoa Elimu kwa Jamii Kupambana na Ulevi Kupindukia

KITUO cha Usuluhishi (CRC) kinachofanya kazi chini ya Chama cha Wanahabari Wanawakecha (TAMWA) kimejipanga kutoa elimu kwa jamii kuhakikisha kinapambana na matumizi ya pombe kupindukia kwa jamii suala ambalo limezidisha vitendo vya ukatili wa jinsia unaofanywa na watumiaji pombe kupindukia. Akizungumza na wahariri wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka alisema utafiti uliofanywa na …

Tanzania Yaongoza Mkutano wa Kamati ya Viongozi Afrika Kuhusu Tabia Nchi

Na Premi Kibanga, Malabo-Equatorial Guinea NCHI za Afrika zinatakiwa kuwa na msimamo mmoja kuhusu jinsi ya kukabiliana na madhara ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa barani Afrika. Misimamo huo wa Afrika unatarajiwa kuwasilishwa kwenye mkutano mkubwa wa Dunia kuhusu masuala ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa unaotarajiwa kufanyika New York, Marekani Mwezi Septemba, 2014. Akiwakilisha ripoti ya Kamati ya Viongozi …

Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji – Waziri Sophia Simba

SERIKALI imesema kitendo cha baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakeketa wanawake na watoto ni ukatili mkubwa ambao umekuwa na madhara kiafya kwa anayetendewa. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba alipokuwa akifungua Mkutano wa Kitaifa wa Kujadili Utokomezaji wa Ukeketaji nchini Tanzania unaofanyika kwa siku mbili katika Mkumbi …

APRM Yapata CEO Mpya, Ni Dk. Ibrahim Mayaki

Na Mwandishi Wetu, Malabo MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara la Afrika iliyoko mjini Midrand, Afrika Kusini. Uamuzi huo umefikiwa katika Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Nchi za APRM uliofanyika mjini hapa, ambapo aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Mpango wa NEPAD, Dk. Ibrahim Assane Mayaki …