Serikali Haina Nguvu Kuzungumzia Uraia Pacha – Rais Kikwete

Na Joseph Ishengoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amesema hana mamlaka ya amri kuzungumzia uraia pacha kwasababu suala hilo ni la kikatiba. Rais Kikwete alisema hayo katika Kongamano la Kwanza la Diaspora lililofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Diaspora ni lugha inayotumika kuwatambulisha Watanzania walioko nje ya nchi wanaojiendeleza kwa njia mbalimbali …

Takwimu Zaonesha Benki za EAC Kukua kwa Kasi

Na James Gashumba, EANA BENKI zilizomo katika nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinatarajia kukua na kupanuka katika kipindi cha miaka miwili ijayo. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na taasisi huru yenye makao yake makuu nchini Marekani. Inaelezwa kwamba hali inayozifikisha benki hizo katika hatua hiyo ya matumaini ni pamoja na kukua kwa Pato la Taifa kwa Mwaka …

Umbali Huduma za Afya Wilayani Ngorongoro Wawatesa Wajawazito

Diwani wa kata ya Ololosokwani na Mkurugenzi wa Irkiramat Foundation (RAMAT) Bw. Yannick Ikayo Ndoinyo akiangalia kitanda cha kujifungulia wakimama kwenye Zahanati ya Sero ambayo kwa siku inatibu wagonjwa 50 na zaidi ikiwa na daktari mmoja huku wakazi wanaofuata huduma hiyo kutoka kata hiyo na ya jirani Soitosambu kutembea umbali mrefu kwa Kilometa 7-15 kupata huduma ya afya.  Na Mwandishi …

Aliyebaka Mwanafunzi Darasa la Nne Ahukumia Miaka 30

Yohane Gervas, Rombo MAHAKAMA ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro imemhukumu kifungo cha miaka 30, Philipo Mbiti (38) baada yakupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la nne. Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Rombo, Naomi Mwerinde alisema mahakama imemtia hatiani baada ya kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili, ambapo upande wa mashtaka umedhibitisha …