Lowassa Aweka Wazi Utajiri Wake

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha. Lowassa alisema hayo katika mahojiano maalumu yaliyofanyika ofisini kwake wiki iliyopita mjini Dodoma. “Haya madai hayana hata chembe ya ukweli hata kidogo, isipokuwa mimi nadhani wananitakia mema kwa sababu …

Kampuni ya TTCL Yatwaa Tuzo ya Maonesho ya Biashara Sabasaba…!

KAMPUNI ya Simu Tanzania, TTCL imeshinda tuzo katika kundi la kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano, kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Makamy wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ndiye aliyemkabidhi tuzo hiyo, Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu, Peter Ngota katika uzinduzi rasmi wa Maonesho ya 38 ya …

Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani. Ametoa wito huo Julai mosi, 2014 wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu …

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu yanaendelea japo kwa kiasi kikubwa hatma yake inategemea kukamilika kwa mchakato wa Katiba mpya. Ametoa kauli hiyo Juni 30, 2014 wakati akizungumza na Mameya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri za Miji na …