MKATABA WA GESI WA STATOIL NA TANZANIA *Swali kwa TPDC: Kwanini Makubaliano ni tofauti na Mkataba Elekezi (Model PSA)? BAADA ya kuvuja kwa Mkataba wa kutafuta na kuzalisha Gesi Asilia (PSA) kati ya Serikali kupitia TPDC na Kampuni ya Norway ya StatOil na baada ya baadhi ya wachambuzi kuhoji kuhusu mkataba huo, Shirika la TPDC limetoa maelezo yake. Sio mara …
CCM Kuwachunguza Lowassa, Sumaye, Membe na Wassira
Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepanga kufanya tathmini kwa wanachama wake ambao iliwaadhibu kwa kile kuonesha utovu wa nidhamu kwa wao kuanza kampeni za kugombea urais ndani ya chama hicho mapema kabla ya muda kutangazwa. Mapema Februari 2014, CCM iliwaadhibu waliokuwa mawaziri wakuu, Edward Lowassa na Fredrick Sumaye, mawaziri Benard Membe, Stephen Wassira na Naibu Waziri, January Makamba …
Mwanahabari Lyassa Ataja Vipaumbele Vyake Uchaguzi TUCTA
MWANAHABARI mkongwe, Dismas Lyassa ambaye anagombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) leo amezungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam akitaja vipaumbele vyake endapo atafanikiwa kushinda katika nafasi hiyo. Lyassa ambaye kwa sasa ni Mhariri wa Biashara na Uchumi wa Gazeti la Mwananchi, alisema lengo lake kuu ni kuhakikisha anaifufua TUCTA kuwa hai na kuleta mabadiliko …
TASAF Kupunguza Umaskini Kwenye Familia Rombo
Yohane Gervas, Rombo MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), imedhamiria kupunguza umasikini katika familia kupitia mpango wa kunusuru hali ya umasikini kwenye kaya unaotekelezwa na mfuko huo katika awamu ya tatu. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa uwezeshaji wa Mafunzo TASAF, Fariji Michael, alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Ladislaus Mwamanga, kwenye ufunguzi wa warsha ya siku tano ya kuwajengea …
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Yaongeza Muda wa Maombi
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa kupokea maombi ya mara ya kwanza ya mikopo kwa mwezi mmoja zaidi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na HESLB na kusainiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo, kwa sasa maombi ya mikopo yataendelea kupokelewa kwa mwezi mmoja tena. “…Nawafahamisha waombaji wa mikopo kwa mara ya kwanza …