Dk.Kimani Watembeleeni Wananchi Mjue Kero zao

MWENYEKITI wa CCM mkoani Simiyu, Dk. Titus Kamani, amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo Madiwani, Makatibu wa Chama na Jumuia zake, kujiwekea ratiba ya kutembelea wananchi ili watambue kero zinazowakabili. Dk. Kamani, ambaye pia ni Mbunge wa Busega na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama katika …

Waliouwa kwa Deni la Shs 9600 Wanyongwa Rombo

WATU watatu wakazi wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mauaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Mahakama Kuu Kanda ya Moshi iliyokuwa ikiendesha vikao vyake katika Mahakama ya Wilaya ya Rombo chini ya Jaji Amaisario Munisi. Awali kabla ya kusoma hukumu hiyo, Mwanasheria wa Serikali, Tamari Mndeme aliwataja watuhumiwa …

Balozi wa Palestina Awaomba Wanahabari Tanzania Kupaza Sauti

BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Nasri Abu Jaish amevitaka vyombo vya habari nchini Tanzania kusaidia kupaza sauti dhidi ya vitendo vya uonevu na mauaji yanayofanywa kwa raia wa Palestina na taifa la Israel ili vitendo hivyo vikomeshwe mara moja. Balozi Abu Jaish ametoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari waliokutana …

Mtandao wa Wanawake na Katiba Wazungumzia Mchakato wa Katiba

MTANDAO wa Wanawake na Katiba umevitaka vyombo vya habari kuacha kuyumbushwa na upepo wa kisiasa katika suala zima la kupigania mambo ya msingi kwa jamii ambayo yanaitaji kuingizwa kwenye Katiba mpya kwenye mchakato unaoendelea hivi sasa wa kuandika katiba mpya. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wajumbe wanaounda mtandao huo jijini Dar es Salaam walipokuwa wakizungumza na wahariri wa vyombo …

JK- Kamwe Hatutatumia Nguvu mivutano na Majirani Zetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kamwe Tanzania haitatumia nguvu kumaliza mvutano kati yake na Malawi kuhusu mpaka kati ya nchi hizo. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Tanzania haioni mantinki ama busara yoyote kuingia vitani na nchi yoyote jirani kwa sababu yoyote ile. Rais Kikwete ametoa uhakikisho huo kwa Malawi na nchi nyingine jirani …