Na Mwandishi Wetu MPANGO wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania sio kaulimbiu ya kisiasa kwa kuwa umedhamiria kusaidia kuyabadili maisha ya Watanzania moja kwa moja. Hayo yalisemwa Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam na watendaji wandamizi kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), walipokuwa wakihojiwa katika kipindi cha Makutano …