* SADC yaishukuru Tanzania kwa Ukombozi MSICHANA Neema Steven Mtwanga, 16 ameibuka kinara katika Mashindano ya Utunzi wa Insha katika nchi wanachama wa Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kwa kushika nafasi ya kwanza miongoni mwa washindani 39 waliowania Tuzo ya Utunzi wa Insha hiyo kwa Mwaka 2014. Msichana Neema Steven Mtwanga, kutoka Shule ya Sekondari ya Naboti, …
Zimbabwe Yamtuza Mtanzania, Ni Brigedia Jenerali Mbita
ZIMBABWE imemtunukia Mtanzania, Katibu Mtendaji wa zamani wa Kamati ya Ukombozi ya Afrika, Brigedia Jenerali Hashim Mbita, Tuzo ya juu kabisa ambayo hutolewa na Taifa la Zimbabwe kwa watu wachache sana duniani, tuzo ambayo pia inaambatana na zawadi ya dola za Marekani laki moja – sawa na shilingi milioni 160. Rais Robert Gabriel Mugabe amemtunuku tuzo hiyo Brigedia Mbita kutokana …
Serikali Kuwanoa Watendaji Halmashauri Usimamizi wa Fedha
Na Eleuteri Mangi – Maelezo SERIKALI itaendelea kutoa mafunzo kwa watendaji wa Halmashauri na Mikoa juu ya usimamizi wa fedha, manunuzi na takwimu katika masuala ya elimu nchini ili kuwajengea uwezo viongozi hao katika masuala ya usimamizi wa fedha za Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari awamu ya pili (MMES II). Kauli hiyo imetolewa mjini Bagamoyo na Waziri wa …
Wazee Dar Wawaangukia UKAWA Kurejea Bungeni
Na Immaculate Makilika – Maelezo, Dar es Salaam BAADHI ya wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea. Wazee hao wamesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya siasa nchini pamoja na …
NIDA Yaanza Usajili na Utambuzi Vitambulisho Mtwara
Na Mwandishi Maalum MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi na wakazi wa Mkoa wa Mtwara, kabla ya kufikia hatua ya kutoa vitambulisho kwa wakazi hao. Kwa mujibu wa taarifa kutoka NIDA zoezi hilo la awali litadumu kwa siku 14 kuanzia Jumatatu ya Agosti 18, 2014. Akizungumza katika sherehe fupi …
Kikwete Hana Mamlaka Kuvunja Bunge la Katiba – Jaji Werema
Na Rose Masaka – MAELEZO MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kulivunja Bunge la Katiba kisheria. Kauli hiyo imetolewa ikiwa ni siku chache baada ya wabunge wa kundi la UKAWA kumtaka Rais Kikwete kulivunja bunge hilo baada ya wao kugoma kuendelea na vikao vya bunge hilo. Aidha Mwanasheria huyo wa Serikali amewataka …