WOMEN’S Day is a day to celebrate acts of courage and willpower by women who have played an important role in the history of their countries, communities and families in one way or another, and to continue promoting the importance of increased opportunity and equality for women across the globe. Kaymu.co.tzTanzania’s leading online marketplace celebrates Women’s Day with Mrs. Dorah …
Sheria Ngowi Afunika Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014
Na Mwandishi wetu MBUNIFU wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita ‘PRIDE’ yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa …