Fainali Tanzania Movie Talents Kufanyika Agosti 22 Dar

      Meneja Mradi wa Tanzania Movie Talents (TMT) Saul Mpock akiongea kuhusu jinsi Fainali hiyo itakavyorushwa ,moja kwa moja (live) kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV pamoja na mitandao mbalimbali ya kijamii , Vilevile amewashukuru wadau wote ambao wameweza kuipiga tafu TMT kwa mwaka huu na kuhaidi kuendelea kukushirikiana nao kwa njia moja au nyingine.  Meneja Bidhaa wa …