WAKATI hivi sasa wazazi wengi hawapendi kuwanyonyesha watoto wao kwa muda mrefu huku wakiwa na madai na sababu tofauti, utafiti uliofanyika nchini Brazil hivi karibuni umebaini kuwa watoto wanaonyonya kwa muda mrefu wanakuwa na akili zaidi, wasomi, na wenye uwezo kifedha wanapokuwa watu wazima. Ripoti ya utafiti huo iliyochapishwa katika jarida la afya la Lancet Global Health unafuatilia makuzi ya …
Zijue Faida Tatu za Tendo la Ndoa!
“Watu wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara, huwa hawa umwi umwi hovyo”, anasema Dkt.Yvonne K. Fullbright, mtaalam wa afya ya tendo la kujamiina. Baada ya nukuu hii kutoka kwa mtaalam, sio ajabu basi tukisikia kwamba faida kuu ya kwanza ni kuimarisha uwezo wa mwili wako kupambana na maradhi (strengthen your immune system). Uchunguzi uliofanyika Chuo Cha Wilkes huko …