Portugal Yatwaa Ubingwa wa Euro 2016…!

                TIMU ya Portugal imetwaa ubingwa wa Ulaya ‘Euro 2016’ baada ya kuifunga France goli moja kwa mtungi. Portugal ilifanikiwa kutwaa ubingwa huo katika dakika ya 109 baada ya mshambuliaji wake Eder kuifungia goli la shuti la mbali la kushtukiza lililomshinda mlinda mlango wa timu ya France. Mchezaji tegemeo wa Portugal, Cristiano Ronaldo …