Mwakilishi Mkazi wa UN Tanzania Aridhishwa na Utekelezaji wa Miradi Kagera

  Umoja wa Mataifa kupitia Mkurugenzi wake Mkazi nchini Tanzania Bw. Alvaro Rodriguez umetembelea, kukagua na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na umoja huo Mkoani Kagera ambapo zaidi ya Dola za Kimarekani (618,000 USD) zimetolewa ili kufadhili na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kama Elimu na Afya pia na miradi ya kijamii. Bw. Alvaro Rodriguez ambaye ni Mwakilishi Mkazi wa Mashirika matatu ya Umoja wa Maifa …

Ban Ki Moon wa UN Ampongeza Rais Dk John Magufuli

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Bw. Ban Ki Moon ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. “Uchaguzi wa mwaka 2015 ni uthibitisho wa wazi na dhamira ya muda mrefu ya Watanzania kwa demokrasia, amani na utulivu. Nina imani kuwa masuala ya uchaguzi …