Chenge Aanza ‘Kumwaga’ Bilioni za Escrow Bariadi

MBUNGE wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge sasa ni kama ameanza kurudisha Shilingi bilioni 1.6 fedha alizopewa kama mgao zilizochotwa katika kaunti ya Tegeta Esrow baana ya jana kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa maabara Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ambapo amechangia milioni 116 kati ya shilingi milioni 174.06 zilizopatikana katika harambee hiyo.    Mbunge huyo ambaye alitajwa kupewa fedha kiasi …