ESAURP Yatoa Mafunzo kwa Wajasiliamali 150 Mkoani Kilimanjaro

Baadhi ya Wawezeshaji katika mafunzo ya Wajasiliamali 150 yanayofanyika katika chuo cha Ufundi Veta mkoa wa Kilimanjaro. Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. Badhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya siku tano. Mjumbe wa  Bodi ya Taasisi ya fedha ya FSDT, Erick Masinda akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Baadhi ya wajasiliamali hao. Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, …