Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wananchi juu ya uwezekano wa kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya nchi ambayo huwenda ikaleta madhara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam na Ofisa Uhusiano wa TMA, Monica Mutoni maeneo ambayo yanaweza kuathiriwa na mvua hizo ni pamoja …
Mvua za Usiku wa Manane Zilivyofunga Mitaa Tabata Dar
MVUA kubwa ilionyesha usiku wa kuamkia leo zilifunga baadhi ya mitaa kwa kujaa maji jambo ambalo lilileta hofu kwa wananchi na baadhi kuamka na kuangalia usalama wao endapo mvua hizo zitaleta maafa. Mvua hizo zilifunga baadhi ya mitaa eneo la Tabata Bima na kuleta maafa kwa maji kuingia baadhi ya nyumba eneo la Bonde la Mto Msimbazi. Mwandishi wa dev.kisakuzi.com …
Tahadhari Kutoka Hali ya Hewa: Mvua Kubwa, Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa Pwani
TAHADHARI imetolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) ya kuwepo kwa Vipindi vya Mvua kubwa, Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa yatakayojitokeza ukanda wa mikoa ya Pwani yaani, Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA leo jijini Dar es Salaam maeneo mengine yatakayo athiriwa na …
- Page 2 of 2
- 1
- 2