TenMet Yakutana na Bloggers wa TBN Kujadili Ushirikiano Kikazi

      Afisa Programu wa Mtandao wa Elimu Tanzania, (TenMet), Bi. Alistidia Kamugisha, akizungumza wakati wa kikao cha kujenga ushirikiano baina ya taasisi hiyo na Bloggers kilichofanyika makao makuu ya TenMet, Sinza jijini Dar es Salaam. MTANDAO wa Elimu Tanzania (TenMet) umekutana na kuzungumza na baadhi ya Bloggers wa Dar es Salaam kutoka TBN, kujadili masuala mbalimbali ya kiushirikiano. Majadiliano …

Asasi za Kiraia Zatetea Msichana Mjamzito Kurejea Shuleni

      ASASI za Kiraia nchini zimeibuka kupaza sauti zikipingana na kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ya kwamba wanafunzi watakaopata ujauzito shuleni wasiruhusiwe kurejea shuleni mara baada ya kujifungua. Katika tamko lao la pamoja lililoshirikisha asasi 25 za kiraia zinazofanya kazi nchini limeitaka serikali kuridhia mchakato wa kumruhusu mwanafunzi atakayepata ujauzito kurejea masomoni mara baada …

TEA Kuendelea Kutatua Changamoto za Mazingira ya Elimu

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania,Joel Laurent akiongea na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kamati ya shule ya Uleling’ombe,uongozi wa kijiji cha Uleling’ombe wakijadilana utekelezaji wa Mradi wa kujenga nyumba za walimu katika maeneo yasio rahisi kufikika, katika shule ya Sekondari Uleling’ombe iliyopo Wilaya ya Kilosa.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania,Joel Laurent akioneshwa eneo lililotengwa kwa ajili ya kujenga …

Benki ya Posta Yatoa Msaada wa Madawati Sekondari ya Mbeya Day

Mkurugenzi wa Fedha toka Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bi. Regina Semakafu akifurahi jambo na baadhi ya walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya Day jijini Mbeya mara baada ya kukabidhi madawati thelathini yenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano kama sehemu ya mchango wa benki hiyo katika sekta ya elimu June 8- 2015.    Mwalimu Mkuu …

Mbunge Segerea Azinduwa Kampeni Elimu Bora

MAZINGIRA BORA KWA ELIMU BORA ,ni kampeni isiyo na malengo ya kumnufaisha mtu binafsi bali inalenga kuisaidia jamii ndani ya jimbo la Segerea katika upatikanaji wa elimu bora kupitia maboresho ya miundombinu ya shule kama madarasa, vyoo, mifumo ya maji safi na salama, madawati na kadhalika. Ndugu zangu ninyi wote ni mashahidi kuwa zipo changamoto nyingi katika sekta ya elimu …

UNESCO Yatoa Mafunzo kwa Walimu Kuboreshaji Elimu

Head of India Tanzania Center of Excellence in ICT (DIT), Dr. Amos Nungu akiwakaribisha wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), wakufunzi pamoja na walimu waliofika kwenye mafunzo ya elimu kwa njia ya mtandao.(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog). Ofisa anayeshughulikia masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmari akifungua mafunzo kupitia …