Sekretarieti ya Maadili ‘Yamsafisha’ Maswi, Yasema Hakukosea Sakata la Escrow

Na Mwandishi Wetu UCHUNGUZI wa Awali uliofanywa na Sekretarieti ya Maadili umebaini kuwa Ndugu Eliakim C. Maswi hana makosa yoyote ya kimaadili katika mchakato wa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow hivyo umekabidhi taarifa yake kwa Rais Jakaya Kikwete kutoa uamuzi wa mwisho. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu, Uchunguzi wa Awali uliofanywa na Kamati …