Salamu za Eid el Fitri Kutoka Bukobawadau Blog

 BUKOWADAU MEDIA, tunawatakia Waislamu wote na wasomaji wetu popote duniani Siku Kuu njema yenye kheri na baraka. Tunamuomba Mola wetu mlezi awarehemu wazee wetu wote waliotangulia mbele ya haki na awasamehe makosa yao. “Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye ni vyake vyote vilivyomo Mbinguni na Ardhini. Na Akhera, sifa njema ni zake pia; Naye ni Mwenye Hekima na Mwenye …