EFM Kuendeleza Tamasha la Muziki Baa kwa Baa

Na Dotto Mwaibale KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu ya kwanza. Hayo yalibainishwa na Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa kituo hicho, Denis Ssebo wakati akizungumza na waandishi wa habri Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu tamasha hilo.   “Baada  ya kumalizika kwa Tamasha la mziki …