Tanzania Yatolewa Mfano Kutekeleza Mpango wa Elimu wa EFA

Na Mwandishi Wetu TANZANIA imekuwa moja wapo ya nchi za kutolea mfano miongoni mwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara katika kutekeleza maazimio ya mpango wa Elimu kwa wote (EFA). Akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa wadau wote wa elimu , Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania  Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa amesema Tanzania …