Edward Lowassa Atinga Bungeni Dodoma, Apiga Kura…!

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Anna Chilolo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa (kushoto) akijadiliana jambo …

Edward Lowassa Kumuwakilisha Dk Bilal Harambee

OFISI ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa shughuli ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Patandi uliopo wilaya ya Arumeru jijini Arusha ambao umepangwa kufanyika Ijumaa ya tarehe 15, 2015 na ambayo awali ilitangazwa kuwa mgeni Rasmi katika Harambee hiyo angekuwa, Dk. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya …

Edward Lowassa Azungumza na Balozi wa Uingereza

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake leo kwa mazungumzo. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Mh. Dianna Melrose mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.