Mkutano wa Lowassa na Wanafunzi Muhimbili Wazuiliwa

  Na Dotto Mwaibale   UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umezuia mkutano uliokuwa ufanywe na baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowaasa.   Mkutano huo ambao ulikuwa ufanyike na baadhi ya vijana wa kikristo ambao ni wanafunzi wa chuo hicho ulikuwa pangwa kufanyika juzi chuoni hapo kuanzia saa …

Lowassa Atembelea Wafanyabiashara Tandale, Tandika Dar

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dk. Juma Haji Duni  wakipata maelezo kutoka kwa Bw. Omari Juma (kulia) ambaye ni mfanyabiashara ya kuuza Maharage katika Soko la Tandale, Manzese Jijini Dar es salaam  Agosti 25, 2015, wakati walipotembelea Soko hilo kujionea hali ya biashara masokoni. Mgombea Urais …

Edward Lowassa Aibukia CHADEMA,Kugombea Urais UKAWA

ALIYEKUWA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa na kada mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akiacha historia ya pekee nchini Tanzania. Lowassa ametangaza uamuzi huo leo alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari, baadhi ya viongozi wa CHADEMA na viongozi wakuu wa …

UKAWA Wamkaribisha Edward Lowassa Kujiunga, Wapo Tayari Kushirikiana

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD umemwalika rasmi Mbunge wa Monduli CCM na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kujiunga na umoja huo ili waweze kuongeza nguvu ya kuing’oa CCM katika Uchaguzi Mkuu utaofanyika Oktoba 2015. Ukawa wametoa mwaliko huo leo jijini Dar es Salaam walipokuwa …

Kambi ya Edward Lowassa Sasa Rasmi Chadema

SASA ni rasmi kwamba kambi ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa imeamua kuachana na chama hicho baada ya madiwani 18 kutangaza kuhamia Chadema, huku mratibu wa wanachama wanaomuunga mkono kada huyo wa CCM kuamua kujiunga na vyama vinavyounda Ukawa. Matukio hayo yametokea ikiwa ni mwendelezo wa wimbi la wanachama wa CCM kutangaza kuhamia vyama vya upinzani, …