Padre Awataka Waumini Kujiweka Tayari kwa Kifo…!

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam PAROKO wa Parokia ya Muhimbili ya Bikira Maria Salama ya Wagonjwa, Padre Ephraim Ogha amewataka Watanzania na hasa waumini wa Kanisa Katoliki kujiweka tayari wakati wowote na kifo kwani kila mmoja atafikwa na tukio hilo kwa wakati wake. Paroko Ogha alitoa tahadhari hiyo alipokuwa akihubiri katika ibada maalumu ya kumuombea aliyekuwa mwandishi wa habari …

Mwanahabari Edson Kamukara Afariki Dunia…!

Na Joachim Mushi MWANDISHI wa habari Edson Kamukara aliyekuwa mfanyakazi wa Hali Halisi Publishers Limited (HHPL) amefariki dunia ghafla nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam. Edson ambaye kwa sasa alikuwa Mhariri wa gazeti tando la MwanaHALISI ONLINE amefariki dunia majira ya saa kumi na mbili jioni huku taarifa za awali zikieleza kifo chake kimetokana na kulipukiwa na jiko la …