Kagera Yachukua Tahadhari Kujikinga na Ebola

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Kagera MKOA wa Kagera umechukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Ebola  kwa kuongeza udhibiti na ukaguzi wa raia wa kigeni kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanaoingia nchini Tanzania kupitia vituo vya mpakani vya mkoa huo. Akizungumza katika mahojiano maalum wilayani Ngara, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe …