United Nations Appoints Special Envoy for Ebola…!

SECRETARY-GENERAL APPOINTS DAVID NABARRO AS SPECIAL ENVOY FOR EBOLA AND ANTHONY BANBURY AS SPECIAL REPRESENTATIVE AND HEAD OF THE UNITED NATIONS MISSION FOR EBOLA EMERGENCY RESPONSE (UNMEER) UNITED Nations Secretary-General Ban Ki-moon today announced the appointment of David Nabarro of the United Kingdom as his Special Envoy for Ebola and Anthony Banbury as his Special Representative and Head of the …

Zahanati ya Ebola Yaibiwa Liberia…!

TAARIFA kutoka Liberia zinasema kuwa kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya ebola, kimeshambuliwa na zana kuibiwa mjini Monrovia. Baadhi ya ripoti zinasema wagonjwa kadha wameondoka kituoni. Tukio hilo limejiri katika mtaa wa shughuli nyingi uitwao West Point. Watu zaidi ya 400 wamekufa kwa sababu ya ebola nchini Liberia kati ya zaidi ya 1,000 katika kanda ya Afrika Magharibi. …