Mgonjwa wa Ebola Marekani Afariki, Mwili Wake Kuuliwa Virusi

HATIMAYE Mgonjwa wa Ebola aliyegundulika hivi karibuni nchini Marekani amefariki dunia, baada hali yake kuendelea kuwa mbaya huku kukiwa hakuna msaada mwingine wa kumsaidia kimatibabu. Thomas Eric Duncan ambaye alikuwa ni mgonjwa pekee wa Ebola nchini Marekani amefariki dunia leo mapema asubuhi baada ya hali yake kuendelea kuwa mbaya, wamesema maofisa wa Hospitali ya Presbyterian ya Texas. Marehemu Eric Duncan …

Mgonjwa wa Ebola Marekani Mahututi, Madaktari Wakwama…!

HALI ya Mgonjwa wa Ebola aliyegundulika hivi karibuni nchini Marekani inaendelea kuwa mbaya huku madaktari wanaomtibu wakihaha kutafuta dozi za kumwanzishia mgonjwa huyo. Thomas Eric Duncan ambaye ni mgonjwa pekee wa Ebola nchini Marekani aliyegundulika kuugua ugonjwa huo hali yake inazidi kuwa mbaya huku kukiwa hakuna vidonge vya dawa za majaribio ambavyo yasemekana vinaweza kupambana na virus vya ugonjwa huo. …