Magonjwa Kama Ebola Kuendelea Isumbua Dunia-UN

NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), J. Eliasson ameliambia Jopo la Watu Mashuhuri linaloongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kuwa hakuna shaka duniani kuwa magonjwa ya milipuko, kama vile Ebola, yataendelea kuisumbua dunia katika miaka ijayo na hivyo ni lazima maandalizi yafanyike kukabiliana na hali hiyo. Aidha, Naibu Katibu Mkuu huyo amelitaka Jopo …

Ebola Imethibitisha Udhaifu wa Mifumo ya Afya

MKUTANO mkubwa wa kimataifa kuhusu masuala ya afya umeambiwa kuwa ugonjwa wa ebola umethibitisha kuwa dunia haijajenga uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa makubwa ya mlipuko. Aidha, mkutano huo uliofanyika, Januari 27, 2015, katika mji mkuu wa Ujerumani wa Berlin, umeambiwa kuwa ugonjwa huo wa ebola umethibitisha kuwa mifumo wa afya ya umma kwa baadhi ya nchi bado ni …

Wadau Wajadili Mkakati wa Taarifa sahihi za Ebola

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa wananchi wakati wa kongamano lililoandaliwa na UNESCO, WHO, UNICEF, Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Novemba 11,2014 …

Boko Haram Wateka Vijiji Wauwa, Nigeria Hakuna Ebola…!

WATU wanaohisiwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram, wamewapiga risasi na kuwachinja watu katika vijiji vitatu Kaskazini Mashariki mwa Nigeria licha ya serikali kudai mwishoni mwa wiki kuwa ilifikia makubaliano na kundi hilo. Wapiganaji wa Boko Haram, walivamia vijiji viwili Jumamosi na kupandisha bendera yao kwa mara ya tatu. Hii ni kwa mujibu wa wanakijiji wa eneo hilo. Serikali ilisema kuwa …

Mfanyakazi UN Aliyeambukizwa Ebola Afariki

MFANYAKAZI wa Umoja wa Mataifa aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani. Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa miaka 56, alifariki dunia mapema Jumanne asubuhi. Mlipuko huo umeua zaidi ya watu 4,000 tangu mwezi Marchi, mwaka huu hususan katika nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria. Shirika la Afya Duniani limeuelezea ugonjwa …