Na James Gashumba, EANA BARAZA la Vyuo Vikuu la Afrika Mashariki (IUCEA) limenzisha mpango wa kufanyia mabadiliko makubwa mfumo wa elimu ya juu ili uzalishe wahitimu wenye ujuzi na sifa katika kanda kuweza kukabliana na mahitaji ya sasa ya kibiashara na ajira. Mpango huo utawasilishwa katka mkutano wa siku mbili wa Wanataaluma na Mpango wa Ushirikiano wa Sekta …
EAC Yatoa Changamoto kwa Waandishi Habari
Na Mtuwa Salira, EANA, Arusha KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Dk Richard Sezibera ametoa wito kwa waandishi wa habari katika kanda hiyo kuripoti habari chanya juu mwenendo wa mtangamano wa jumuiya hiyo. “Muwe mstari wa mbele katika kuripoti kwa uhakika juu ya mtangamano wa EAC, manufaa yake mengi na fursa za kutosha zilizopo kwa watu wa kanda …
Baraza la Mawaziri EAC Kuidhinisha Hati Mpya za Kusafiri
Frank Mvungi- Maelezo MKUTANO wa 29 wa Baraza la Mawaziri wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Masharikiunatarajia kupokea na kuidhinisha aina mpya ya hati za kusafiria za kielektroniki, zikiwemo sampuli za hati za kusafiria za kibalozi, za Maofisa na za kawaida. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Biashara, Uwekezaji na shughuli za uzalishaji …
EAC Yaonguza Kupunguza Migogoro katika Nchi zake
Na James Gashumba, EANA Nchi tatu za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) za Rwanda, Burundi na Tanzania zimetajwa kuwa ni miongoni mwa nchi zilizofanikiwa kuharakisha kwa kasi kubwa kukua kwa maendeleo endelevu ya binadamu kwa kupunguza migogoro na kujenga ushupavu baina ya raia wake kati ya mwaka 2000 na 2013. Taarifa ya hivi karibuni iliyotolewa na Shirika la Mpango wa …
Sudani Kusini Kujadiliwa EAC Oktoba
Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha MAJADILIANO juu ya ombi la Sudani Kusini kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yameahirishwa hadi Oktoba mwaka huu, Mkutano wa wakuu wa nchi EAC ulisema Jumatano. Mwenyekiti wa Mkutano huo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alisema mjini hapa kwamba kucheleweshwa huko kutatoa nafasi kwa Sudani Kusini kufanya maandalizi ya kitaifa na mashauriano. “Hata …
- Page 2 of 2
- 1
- 2