MWENYEKITI wa Taasisi ya sekta binafsi nchini (TPSF) Dr. Reginald Mengi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kushirikiana katika kutumia utajiri wake mkubwa wa raslimali kunufaika kiuchumi. Ushirikiano huo ni pamoja na kuzindeleza raslimali hizo na kutumia nembo moja ya kibiashara ili kuzalisha mabilionea wakubwa duniani. Mwenyekiti huyo alisema hayo katika mkutano wa Taasisi za Sekta Binafsi za Tanzania na …
Naibu Balozi wa Vijana EAC Awapa Somo Wanafunzi Vyuo Vikuu Arusha
Naibu Balozi wa vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel, akisikiliza maoni ya mmoja wa wanafunzi waliohudhulia kwenye warsha hiyo, juu ya ufahamu wake wa Ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira jijini Arusha, Machi 30, 2017.
Wanachama EAC Waomba Miezi Mitatu Kujadili EPA
Na Immaculate Makilika na Abushehe Nondo, MAELEZO-Dar es Salaam WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubaliana kutumia kipindi cha miezi 3 hadi Januari mwakani ili kuupitia upya mkataba wa mahusiano ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Ulaya (EPA) kabla ya kukubaliana na baadhi ya vipengele vya mkataba huo. Akizungumza katika …
Tanzania Inaunga Mkono Ushirikiano wa Kikanda-JK
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wao Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakizungumza chemba kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta International Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki …
Tanzania Yakubali Kuwa Mlango wa Vietnam Kibiashara EAC
‘Garment 10 Corporation textile Mill’ lilichopo Wilayani Gia Lam nchini Vietnam juzi. TANZANIA imekubali ombi la Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam kuwa mlango wa kuingiza bidhaa za nchi hizo hasa za mashine na vyakula katika soko la nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo kwa sasa uwezo wa nchi hizo kutengeneza mashine siyo mkubwa sana. Aidha, Tanzania imesema kuwa …
- Page 1 of 2
- 1
- 2