Maadhimisho Siku ya Malaria Duniani Kufanyika Dar Aprili 25
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TANZANIA itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati mbalimbali ya kupambana na ugonjwa huo hapa nchini. Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria …
Rais Kikwete Awaongoza Wanawake Maadhimisho ya Wanawake Duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa dini mkoa wa Morogoro Rais Kikwete akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini …
TRUMARK Yaja na Warsha Maalum Siku ya Wanawake Duniani
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 7, 2015 ukumbi wa Mlimani City. Wengine kutoka kushoto ni maofisa wa Trumark, Antu Mandoza na Nuru Lyau. Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya …
Ulemavu wa Kuzaliwa Tatizo Kubwa kwa Watoto Duniani
WATOTO huchukuliwa kama taifa la kesho duniani kote hivyo basi kuwapatia huduma ya afya sahihi lazima ipewe kipaumbele . Mahitaji ya afya ya watoto ni ya kipekee sana, na ya tofauti sana ukilinganisha na watu wazima kwahiyo yanahitaji bidii sana. Mara kwa mara kumekuwepo matukio kadhaa ya kuzaliwa kabla wa wakati, uzito mdogo wa kuzaliwa, mtoto kuzaliwa na kisukari, pumu, …
‘Uwepo wa Kundi Kubwa la Vijana Wasiokuwa na Ajira Natizo Duniani’
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la “Tuwasiliane” linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili …
- Page 1 of 2
- 1
- 2