Datius Jovit Atunukiwa Shahada ya Elimu DUCE

Datius Jovit Datius Jovit Datius Jovit Datius Jovit  Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani) Babu zake na dada zake wakati alipotunukiwa Shahada ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE.  Datius Akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Mzazi (Kushoto) pamoja na Babu yake mdogo (kulia)  Akivishwa taji …