Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya kuanza Safari ya kwenda Mbeya Wa kwanza Kulia ni Mdogo wao wa Mwisho wa Akina Mwaibale Ambwene na wa pili kutoka kulia ni Dada yao Mkubwa wa akina Mwaibale Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu …