Hotuba ya Rais Kikwete Akizungumza na Wazee Mkoa wa Dodoma

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, WAKATI WA MAJUMUISHO YA MKOA WA DODOMA, DODOMA TAREHE 04 SEPTEMBA, 2014 Utangulizi Mheshimiwa Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma; Waheshimiwa Mawaziri; Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya, Wabunge, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Miji; Waheshimwa Madiwani; Wazee Wangu; Ndugu wananchi; Kuna …

Wanawake Wataka Katiba Mpya Itamke Umri wa Kuolewa, Kuoa

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WANAHARAKATI wanaoshiriki kongamano la Katiba la kujadili masuala ya kijinsia yanayotakiwa kuzingatiwa kwenye mjadala wa Bunge maalum la Katiba wamewataka wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kuhakikisha katiba mpya itakayotengenezwa inatamka umri wa kuolewa au kuoa uwe miaka 18 hadi 21 ili kuwapa nafasi watoto wa kike kupata nafasi ya kusoma na kukua. Wakizungumza wakati wakiendesha Bunge kivuli …

TWPG Yawapiga Msasa Wabunge Dodoma

UMOJA wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba wamezungumzia juu ya umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba Mpya na masuala muhimu ya jinsia ya kuzingatiwa katika katiba.   Wito huo umetolewa 30 Agosti, 2014 wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo wakishirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba ili kutambua usawa …