Edward Lowassa Atinga Bungeni Dodoma, Apiga Kura…!
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Anna Chilolo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa (kushoto) akijadiliana jambo …
Hotuba ya Waziri Mkuu Pinda Akiliahirisha Bunge
HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 18 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 7 FEBRUARI, 2015 I: UTANGULIZI (a) Masuala ya jumla Mheshimiwa Spika, 1. Tumekuwepo hapa kwa takriban siku 12 katika shughuli za Mkutano wa 18 wa Bunge lako Tukufu. …
Mrembo Akabidhi Vitabu Shule ya Msingi Mpunguzi, Dodoma
Doris Mollel akikabidhiwa vitabu 200 na mkurugenzi wa MAK Solutions Bi Meetal Kirubakaran. Vitabu hivyo vilikabidhiwa kwa shule ya msingi Mpunguzi iliyopo Dodoma kama mchango wa kuadhimisha siku ya watoto duniani.(Picha zote na Albert Manifester). Dodoma, Novemba 2014. Katika kuadhimisha siku ya watoto duniani inayofanyika tarehe 20 Novemba kila mwaka, Mrembo wa Redds Miss central Zone 2014 Doris Mollel amechangia …
Matukio Mkutano wa Tano wa COMNETA Dodoma
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa shirika la kimataifa la sayansi, elimu na utamaduni (UNESCO) Bwana Al Amin Yusuph akielezea madhumuni ya warsha ya wadau wa mradi wa uchaguzi 2015 unaolenga kuboresha demokrasia amani nchini katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ujao, unaofadhiliwa na Shirika La Kimataifa la Maendeleo (UNDP) ulioenda sambamba na mkutano wa tano wa Mtandao …
- Page 1 of 2
- 1
- 2