Dk. Kawambwa Kuchangisha Fedha Ujenzi Sekondari Enaboishu

Na Beatrice Lyimo, Maelezo-DSM. WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba za walimu vyumba vya madarasa na ununuzi wa samani katika shule ya Sekondari ya Enaboishu iliyopo mkoani Arusha. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shule hiyo, Emmanuel Munga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi jijini …