Na Magreth Kinabo, MAELEZO WANANCHI wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya nayopendekezwa sura kwa sura na ibara baada ya ibara ili waielewe juu ya ufafanuzi wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba na kuacha kusikiliza maneno ya watu pekee. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Asha Rose Migiro wakati wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya …