Mambo Yamuharibikia Dk Mwaka wa Foreplan Clinic, Serikali Yavamia, Achunguzwa…!

SERIKALI imevamia kituo cha Tiba Mbadala cha Foreplan Clinic kinachomilikiwa na Dk. Mwaka Juma Mwaka (Dk. Mwaka) na kufanya ukaguzi juu ya tiba inayofanywa na kituo hicho pamoja na taaluma za wahusika. Ziara hiyo ya kushtukiza imefanywa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala ambapo baada ya ukaguzi na kukuta sintofahamu huku …